Seventh-Day Adventist Church

Northern Tanzania Union Conference

Menu
Mazishi ya Mrs. Twing kandokando ya kaburi la mmewe Dr. Twing. Hawa walikuwa wamisionari wakuu nchini Tanzania. Mwili wake ulisafirishwa kutoka nchini Marekani baada ya kufariki mwezi wa Saba na kuzikwa tarehe 27/10/2014 mjini Morogoro. 

Mchungaji Davis Fue, Katibu mkuu wa Unioni ya Kaskazini mwa Tanzania akiendesha ibada ya mazishi

Mwili wa Marehemu Mama Twing ukiingizwa kaburini karibu na Kaburi la mmewe Dr. Twing. Mwili huo ulikaushwa na kuwekwa katika kibox kidogo.

Mchungaji Mussa Mitekaro (ambaye ndiye msimamizi wa mradi wa Mama Twing) akiwa amebeba jeneza la mwili huo. Mchungaji Mitekaro alisafiri na Mwili huo kutoka Nchini Marekani.

Maisha na Utendeji kazi wa Mama Twing tafadhari tembelea http://twingmm.netasi.org
© 2018 Northern Tanzania Union Conference