Viongozi wapya wa Unioni konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista wa Sabato ni kama ifuatavyo:
Mwenyekiti: Dr. Godwin Lekundayo
Katibu: Pr. Davis Fue
Mhazini: Mr. Denis Wairaha
Wakurugenzi
1. Personal Ministries: Pr. Musa Mitekaro
2. Stewardship:Pr. Jeremiah Izungo
3. Publishing: Pr. Daniel Ndiegi
4. Education: Dr. Mashauri Mjema
5. Women Ministries: Mrs. Winfrida Mitekaro
6. Youth: Pr. Elias Kasika
Mambo yahusiyo mawasiliano yatasimamiwa na Ndugu Gideon Msambwa ambaye ni Meneja wa Teknohama, na mambo yahusio afya yatasimamiwa na mkurugenzi wa afya kutoka South Nyanza Conference.