Seventh-Day Adventist Church

Northern Tanzania Union Conference

Menu

pendo mmlimsimlo kifani

Posted on Dec 19 2016

UZINDUZI WA KITABU PENDO LISILO KIFANI –SINGIDA

Idara ya Uchapaji jimbo kuu Kaskazini mwa Tanzania limefanya uzinduzi wa kitabu cha Pendo lisilo kifani,ambapo uzinduzi huo uliambatana na  Semina ya wainjilisti wa jimbo nzima iliyokua ikiendeshwa na Mwenyekiti wa  uchapaji kanda ya Afrika  Mashariki na kati Mch.Binzi Lema.

Uzinduzi wa kitabu “PENDO LISILO KIFANI” ulifanyika siku ya jumamosi chini ya mwenyekiti wa jimbo kuu la Kaskazini Dr.Godwin Lekundayo ambaye alipata wasaa wa kuzungumza na wainjilisti na kuwatia moyo kuiifanya kazi ya Mungu kwa juhudi na kwakuipa kipaombele. Aidha alisisitiza juu ya juu ya suala la uaminifu katika kuifanya kazi ya Mungu.

Kitabu hiko kimeanza kusambwa rasmi katika Konfrensi zote na kinatarajiwa kupaikana sokoni kwa bei ya Tsh 2000/= tu. 

© 2018 Northern Tanzania Union Conference